Wafuasi wa Yesu watangaza Habari Njema

Kipawa Cha Roho Mtakatifu
Kwa kipindi cha siku arobaini ambapo Yesu aliwatokea wanafunzi wake alikuwa amewasihi kuwa wasitoke Yerusalemu mpaka wapate ile ahadi ya Roho Mtakatifu aliyewaahidi. (Yohana14:16) Katika mlango wa pili wa kitabu cha matendo ya Mitume, tunasoma hadithi ya mitume wa Yesu ambao walikuwa wakifanya hilo. Walikuwa wamejumuika pamoja kwa ghafla waliposikia mvumo wa ngurumo kama upepo mkali walipokuwa wamejumuika. Waliona kile kilichoonekana kama ndimi za moto kwa kila mmoja aliyekuwamo! Na kwanzia wakati huo walijazwa na Roho Mtakatifu.
Kujazwa huku kwa Roho Mtakatifu kulimfanya waanze uongea kwa ndimi nyingine. (matendo ya Mitume 2:4)
Na hivyo ndivyo ilivyotokea wakati Mitume wa Yesu walijazwa na Roho matakatifu, kulikuwa na maelfu ya watu waliotoka kutoka mataifa yaliyozunguka Israeli waliokuja Yerusalemu kusherekea mojawapo ya sherehe za Wayahudi. (unaweza kusoma orodha ya mataifa haya katika kitabu cha matendo ya Mitume 2:8-11). Kimiujiza kila mmoja wa wageni hawa alisikia wafuasi wa Yesu wakitangaza habari njema ya wokovu kupitia Yesu Kristo, wakiongea kwa Lugha zao.
Mitume, Petro aliweza kutoa hotuba ya kusisimua jinsi aliyesurubishwa bila makosa ni mwana wa Mungu akawaambia umati kuwa wokovu ni kupitia kwa Yesu. Wengi wa umati waliweza kuguzwa na kile Petro alichosema na zaidi ya watu elfu tatu (3000) walimkubali Yesu kama masihi na mwokozi wao siku hiyo huu!

Siku hii kweli ndio ilikuwa mwanzo wa kanisa la kikristo. Fikiria wale waumini wapya walioenda katika nchi zao na kuutangaza kwa marafiki na familia wokovu kupitia Yesu! Nambari ya watu waliofuata ‘njia’kama vile kanisa ilivyoitwa ilianza kukua na kupanuka kwa haraka katika maneo ya mashariki ya kati na Medetherania ya Uropa.Kitabu cha Matendo ya Mitume ni hadithi jinsi wafuasi wa yesu walivyoisambasa injili hii nya wokovu.

Uongofu na Mateso
Kumbuka ni Yerusalemu ambapo mitume walijazwa na roho mtakatifu na ni pale pale tu Yerusalemu ambapo kuambia watu juu ya Yesu walipuuzilia mbali hapa ndipo Yesu alikuwa amesurubishwa. Akateswa na viongozi Wayahudi ambao walikuwa wamemwua Yesu ndio sasa kulikuwa na kikundi kipya ambacho kilikuwa makini kuhusu kukua kwa wafuasi wa Yesu.
Stifano alikuwa baadhi ya wahubiri waliokuwa wakiongea sana alikuwa mfuasi wa kwanza wa kumfuata Yesu. (Metendo ya Mitume 6:8-7:60)
Uongofu kwa Ajabu
Pamoja na Kayafa na wakuhani wengine wenye walichangia kwa kukejeliwa kumjaribu kuna kikundi kingine ambacho kilikuwa kimeamua kufagia wafuasi wake wote jina lake aliitwa saulo wa Tarsisi.

Sauli aliomba na akapata ruhusa kutoka kwa Makuhani wa hekaluni pale Yerusalemu kuwatia nguvuni na kuwafunga wayahudi wote wenye angepata ni wafuasi wa Yesu.
Sauli alikuwa anasafiri kwenda mji wa demaski kutafuta sinagogi pale kwa waumini wa Yesu wakati mwangaza mkali ulimwangukia, akaanguka chini na akasikia sauti ikimuuliza, “mbona unanitesa” (Matendo ya mitume 9:1-19)
"Wewe ni nani?" Saulo akauliza. Alikuwa Yesu mwenyewe aliyezungumza na Saulo. Mungu alikuwa amemchagua Saulo kuleta habari njema kwa watu wa mataifa (mtu yeyote ambaye hakuwa Myahudi) kila mahali.
Wakati wakristo Wayahudi waliposikia kuwa Sauli amekua muumini kwa njia hawangeamini kuwa yeye angeongoka kutoka kwa mtesi wao mkubwa kuwa mhubiri hodari ilikuwa ya ajabu sana. Iliwachukua muda mrefu kwa Wayaudi waumini kuamini kuwa Saulo alikwa ameongoka, bado walimwogopa kwa yale aliyoyafanya hapo awali.
Wakati sauli alianza huduma yake kwa watu wa kimataifa alianza kutumia jina lake kwa njia ya Kirumi: Paulo (Sauli lilikuwa jina la Kiyahudi).
Paulo alitembea maelfu ya maili kutangaza injili ya Yesu. Unaweza kusoma kusafiri kwake katika kitabu cha Matendo ya Mitume. (Matendo ya Mitume 11:25- Matendo ya Mitume 28). Aliteseka sana kwa kuteswa kwa ajili ya injili kwa sababu ya mahubiri yake na mafundisho kuhusu Yesu. Alishikwa na kuwekwa jela Rumi. Ni kutoka jela Paulo aliandika barua nyingi kwa makanisa yaliyokusanyika Uropa ambayo yamewekwa pamoja katika agano jipya. Asante kwa Paulo kwa uongofu wa Paulo, tunayo maandiko yanayotupa wachristo maagizo na faraja, tumaini na uhakika.Unaposoma barua za Pauli ni kujifunza jinsi ya kuishi kama Mkristo.